PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Imepita wiki moja tangu nifanye unsafe sex na yule msichana sasa najikuta uume wangu unawasha na kutoa maji maji kama usaha and ofcourse nimepanga baada ya miezi mitatu niende ANGAZA kucheki kama nimepewa lile gonjwa hatari... Lakin saiv ningependa mnisaidie tiba ya hili tatizo la uume wangu kuwasha na kutoa usaha... Asanteni!!