Halo wadau, mambo ni aje?? Nina mtoto wa kiume wa umri wa miaka miwili na miez mitatu, ananipa mawazo sana, akisikia haja ndogo utasikia anakwambia nataka jojoa na either aende nje au atakwenda kabisa chooni ila ikija kwenye haja kubwa, yaan tumejitahidi kila njia lakin utamuona anakwenda pembeni anasimama na anajinyea. Sasa jamani nifanyeje?? Au itafika mahal ataacha?? Je kuna chochote naweza kufanya kwa sasa kumsaidia?