Maumivu ya uume na tumbo chini ya kitovu wakati wa haja ndogo

Cico boy

Member
Apr 19, 2016
8
3
Tangia jumapili mpaka Leo hii naumwa sana. Yani kila ninapoenda Haja ndogo tumbo linaniuma sana chini ya kitovu pia uume nao huuma. Sasa nashindwa kuelewa ni ugonjwa wa aina gani umenikumba.
 
Kwa maelezo yako tu haya Mkuu itakuwa una ugonjwa wa zinaa hivyo nakusihi wahi ukamwone daktari kabla haijawa hatari zaidi kwa afya yako.
 
Tangia jumapili mpaka Leo hii naumwa sana. Yani kila ninapoenda Haja ndogo tumbo linaniuma sana chini ya kitovu pia uume nao huuma. Sasa nashindwa kuelewa ni ugonjwa wa aina gani umenikumba.
WAHI HOSPITAL ASEE JEIF UNAWEZA KUAMBULIA MANENO YA HOVYO HOVYO MPAKA UZIRAI..
POLE MKUU POLE SANA
 
Acheni kumtisha mwenzenu na hilo gono. Ameshasema yeye ni 'bikra'. So bora hata mseme kichocho maana na hizi mvua basi huenda kakanyaga maji machafu...
 
Tangia jumapili mpaka Leo hii naumwa sana. Yani kila ninapoenda Haja ndogo tumbo linaniuma sana chini ya kitovu pia uume nao huuma. Sasa nashindwa kuelewa ni ugonjwa wa aina gani umenikumba.
Hiyo inaeza kuwa uti wahi hospito isije kuwa sugu afu inazinguaga ata kwenye kula mzgo unapungukiwa nguvu mkuu
 
Tangia jumapili mpaka Leo hii naumwa sana. Yani kila ninapoenda Haja ndogo tumbo linaniuma sana chini ya kitovu pia uume nao huuma. Sasa nashindwa kuelewa ni ugonjwa wa aina gani umenikumba.
Aise kaka wahi hospital mapema hyo ni UTI nenda kapime mkojo. Mimi ilinikuta hivyo nikachelewa iliniuma kwel nikakuta ni uti
 
Back
Top Bottom