little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 557
Naomba kujuzwa hili linasababishwa na nini na ni dalili za ugonjwa gani. Maana nina siku kama 4 tokea nikutane na mdada kimwili.
Nimeanza kusikia maumivu ya kawaida jana kipindi nikikojoa.... naona na leo linaendelea na bila hata kukojoa.
Ushauri: Kitu gani nifanye au dawa ipi nitumie kabla haijawa majanga