MSAADA; Kuchezwa na jicho

jik

Member
Dec 21, 2014
50
16
Habari zenu wapendwa!
Jicho langu la mkono wa kushoto linacheza sana chini hii ni wiki ya pili halitulii na linacheza kwa nguvu hata mtu akiniangalia anabaini bila kuambiwa, cjui tatizo ni nini.

Watalaamu wa afya ushauri wenu tafadhali linaninyima raha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom