Msaada: Maumivu wakati wa kukojoa

kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
8,132
5,798
Salamu kwenu nyote wana JF.

Nina mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na maumivu wakati wa kukojoa na alipoenda kupima kaambiwa ana UTI. Alipewa dozi ya UTI, dawa zimeisha lakini bado maumivu yanaongezeka kwenye uume sehemu ya mbele kwa ndani.

Naomba mweye kujua hii tumsaidie ,isijekuwa ni dalili ya tezi dume.
Natanguliza shukurani kwa wote.
 
Back
Top Bottom