Inakuaje hii kuhusu hedhi

SHIPPPA

Member
Apr 7, 2016
14
3
Kila anapoingia kipindi cha hedhi hupata maumivu makali kisha hutoka damu ambayo huambatana na kijinyama kidogo mfano wa harage kina rangi ya kahawia. Wale wataalamu wa sekta ya afya msaada wa haraka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom