TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
tangu nakua,nimekuwa nikisikia kuwa mtoto mchanga hasa wa kiume 'wa kike sina hakika', anapozaliwa,endapo kitovu chake kitaangukia sehemu nyeti basi atakuwa hana nguvu za kiume au uwezo wa kuzaa.je kuna ukweli wowote katika hilo?au kuna any scientific proof juu ya hilo?