Wanajamii forums naombeni msaada. Nina mtoto wa miezi miwili hapati choo. Tatizo lake lilianza akiwa na wiki kama mbili choo akawa hapati ingawa mwanzoni alikuwa akipata choo vizuri tu.
Anaenda mpaka siku saba hivo tunalazimika 'Kumuinika' ili apate choo na kinatoka choo kingi sana.
Mtoto huyu ananyonya maziwa ya mama tu na mama yake ameshauriwa na dakitari bingwa wa watoto asitumie Hata chai ya maziwa kwa madai kwamba anaweza kuwa ndie chanzo cha matatizo lakin tatizo la mtoto liko Palepale.
Kwa kweli mtoto halali vizuri hivo naomba sana ushauri wenu