Siri ya kwanini madaktari huvaa koti jeupe

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Nimekuwa nikijiuliza kwanini madaktari walipendekeza kuvaa makoti meupe je kuna uhusiano wowote wa rangi nyeupe na concept za kisayansi
 
Nyeupe inahusiana na usafi.Sehemu yoyote panapohitajika kuwa safi huwa wanavaa white.

Butcheries.. Hotels..etc

Hospitali ni miongoni mwa maeneo yanayohitajika kuwa sterile muda wote
sterile means free from micro organism including endospores sasa hospitali panatakiwa kuwa safi but hapawezi kuwa sterile
 
Nyeupe inahusiana na usafi.Sehemu yoyote panapohitajika kuwa safi huwa wanavaa white.


Hospitali ni miongoni mwa maeneo yanayohitajika kuwa sterile muda wote

Historia ya kuvaa koti jeupe kwa madaktari inaanzia miaka ya 1800( karne ya 19) ambapo madaktari Wa kisasa (modern medicine) waliamua kujitofautisha na madaktari walioamini nguvu za Giza (mysticism) na kuanza kuvaa makoti meupe kumaanisha tiba yao in kisayansi.

Kabla ya hapo na hata sasa wanasayansi huvaa makoti meupe.
 
Back
Top Bottom