Hakuna madhara ukatahiriwe tuKwa wataalam napenda wanijulishe kama kunamadhara utapata ikiwa mtu atatahiriwa akiwa juu ya miaka 45
Kutairiwa ni rahisi sana kwani ni kaoperesheni kadogo tu waweza fanya wakati wowote, ila ukumbuke kutoa Govi ni rahisi kimbembe ni ukitaka kurudisha govi lako, ndiyo maana mimi nasita sana kutoa Govi maana nimeisha lizoeaKwa wataalam napenda wanijulishe kama kunamadhara utapata ikiwa mtu atatahiriwa akiwa juu ya miaka 45
Wataalam wanasema ni rahisi kupata magonjwakama unawaza kwenda kulitoa pole sana, hicho kitu ni muhimu mno maishani mwako usidanganywe kwenda kulitoa hautapata tena ladha ya chungwa.
kwanza na uzee wote huo limekuchosha nini? au kuna nini kimekusibu mkuu unless uwe na sababu za kitabibu kuwa ni lazima ulitoe. ila mimi nakushauri liache tu usije jutia huko mbele ya safari
kukumdogo, umeusikia huo ushauri?Yani miaka yooote udunde nalo leo ndo uwaze kulitoa, mwisho likutoe roho.... Lako hilo kaa nalo tu
Hahahahahahahaha nimecheka kwa saut co kwa kituko hicho!!!!lolKutairiwa ni rahisi sana kwani ni kaoperesheni kadogo tu waweza fanya wakati wowote, ila ukumbuke kutoa Govi ni rahisi kimbembe ni ukitaka kurudisha govi lako, ndiyo maana mimi nasita sana kutoa Govi maana nimeisha lizoea
Akaaaaa la kazi ganiWewe unapenda kuwa na mwenyegovi lakini?
Evelyn Salt, wewe umekeketa? Acha habari ya kupinga ukeketeaji, turudie kwenye mila, maana na kutahili ni mila, wewe umekeketa? Kuna wanaume wengine wanaona kutahili ni unyanyasaji wa kijinsia, upo hapo? The whole of Europe kutahili siyo jadi yao, unawaambiaje?Akaaaaa la kazi gani
Anaelitumia kishalizoea, hata wewe umelizoea....ngozi ishakomaa mwisho likatwe kwa msumeno we liacheMbona unataka nibakinayo?
Wataalam wanasema ni rahisi kupata magonjwa
Nikekete ili iweje, pamoja na madhara yooote bado watu wanakeketa pole zao....Evelyn Salt, wewe umekeketa? Acha habari ya kupinga ukeketeaji, turudie kwenye mila, maana na kutahili ni mila, wewe umekeketa? Kuna wanaume wengine wanaona kutahili ni unyanyasaji wa kijinsia, upo hapo? The whole of Europe kutahili siyo jadi yao, unawaambiaje?