Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,538
- 6,456
Jamani, hivi mtoto mchanga akiwa na matege unaweza kufanya nini ili kuyanyoosha, nilisikia kama mtoto akiwa na matege wakati bado mdogo mifupa yake ni milaini hivyo inaweza kunyooshwa tu.
I am just curious because nimemtembelea ndugu yangu ana mtoto anatembea, ana matege mabaya sana, my wife is pregrant na nilikuwa naogopa nitafanya nini kama ikitokea kwa wa kwangu...dawa yake au njia ya kuyanyoosha ni nini wajameni? prevention ninajua ni kutumia sana vyakula vya vitamin D na C. thanks.