jinsi ni ME,miaka 30, kilo 78, urefu 180cm maumivu yanakuja na kupotea japo yanakaa muda hata nicpofanya kaziJinsia,umri wako miaka mingapi,uzito wako ni wa kawaida?na hayo maumivu ni wakati wowote au pale unapofanya shughuli za hapa na pale?
Ilinitokea hiyo hali lakini kwangu ilikuwa upande wa kulia nilipopiga x ray ikagundulika ni TB mkuu na mapafu yalikuwa na maji. Nilitumia dawa za TB mpaka nilimaliza dozi ninamshukuru Mungu sasa hali yangu imekaa sawa.
Naomba ukafanye vipimo zaidi hivyo ulivyosema sio mwisho wa vipimo kwa technoligy za hivi sasa.[/QUOTE
ssawa mkuu nashukuruIlinitokea hiyo hali lakini kwangu ilikuwa upande wa kulia nilipopiga x ray ikagundulika ni TB mkuu na mapafu yalikuwa na maji. Nilitumia dawa za TB mpaka nilimaliza dozi ninamshukuru Mungu sasa hali yangu imekaa sawa.
Naomba ukafanye vipimo zaidi hivyo ulivyosema sio mwisho wa vipimo kwa technoligy za hivi sasa.
ahsante mkuu kwa ushauriukajaribu na mitishamba labda mkuu
PAMOJA SANAahsante mkuu kwa ushauri
Mkuu Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.ninapata maumivu makali upande wa kushoto kifuani....maumivu yanasambaa mpaka kwenye bega na mkononi kisha mgogoni inafikia hatua nashindwa kulala kiubavu kwa upande wa kushoto nmeenda hospital nmega x-RAY pamoja na ECG hmn tatizo
kama ipi mkuu.......msaada plzukajaribu na mitishamba labda mkuu
wasiliana na mzizi mkavu huyo jamaa ni mtaalamukama ipi mkuu.......msaada plz
ninapata maumivu makali upande wa kushoto kifuani....maumivu yanasambaa mpaka kwenye bega na mkononi kisha mgogoni inafikia hatua nashindwa kulala kiubavu kwa upande wa kushoto nmeenda hospital nmega x-RAY pamoja na ECG hmn tatizo