Naomba ushauri wataalamu wa uzazi.:..

Juma chief

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
2,763
2,364
mke wangu alipojifungua mtoto wetu wa kwanza mwaka 2013,punde tu baada kujifungua alichoma ile sindano ya ANT D...
ninachoomba kujuzwa,je kwa mimba ya pili ni wakati gani tena atapaswa kuchoma tena sindano ile,au basi haina uhitaji wa kuchoma tena..??..

katibuni watabibu...
 
Pole sana mkuu
Bila shaka huyu mama ni rhesus negative

Hii condition inaitwa
Heamolytic disease of new born
 
Mama ambaye ni Rh negative atahitaji kuchoma hiyo sindano kila atakapobeba mimba ya mtoto mwenye Rh positive blood.
 
Back
Top Bottom