Hali hii kwa mtu mwenye kisukari ni nzuri au si nzuri?

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,958
2,951
Wakuu mu hali gani?
hali ya unywaji mwingi wa maji takribani lita 3-5 kwa siku na kuto kukojoa mara kwa mara au mara nyingi kwa mfano:-
MCHANA KUKOJOA MARA 2
USIKU KUKOJOA MARA 1
NA HAJA NDOGO INA RANGI NYEUPE KAMA MAJI JE HALI HIYO NI NZIRI AU SI NZURI KWA MTU MWENYE KISUKARI?
 
Wewe unaonaje mkuu?

kama hapati mkojo wa kutosha inabidi figo ziangaliwe.

Kwa maana maji anayokunywa lazima yatolewe. Awahi kwa daktari
 
Sio nzuri kabisa,kama hatumii dawa mwambie aende hospitali,na kama anatumia dawa basi hazifanyi kazi vizuri abadili dose.
 
Mtu mwenye kisukari anywe maji yaliyochanganywa na limao yanasaidia.Kamulia limao au ndimu 1 kwenye maji kiasi Cha ¼ lita kila unapohisi kiu.
mkuu yanasaidia kufanyaje kwa maana kisukari kama huja kikontrol au umekikontrol nu very complicated hakina wema kabisaa!
 
Dr. Ndodi kadanganya wengi sana
hivi Dokta ndodi Yupo wapi siku hizi Mkuu?? jamaa alitisha sana wakati ule. ila nashangaa kapotea.

kuna yule mwingine alikuwa anaitwa JKBRS international. sijui nae yupo wapi. naona tu office pale ubungo plaza
 
hivi Dokta ndodi Yupo wapi siku hizi Mkuu?? jamaa alitisha sana wakati ule. ila nashangaa kapotea.

kuna yule mwingine alikuwa anaitwa JKBRS international. sijui nae yupo wapi. naona tu office pale ubungo plaza
wakisha tajirika wanahamisha uwkezaji katika miradi mingine ya kuganga wana achana nayo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom