Tiba ya malaria sugu

Black ma colour

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
732
1,000
Habari wana JF leo ni siku nyingine iliyo njema machoni petu watu wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu tatizo la malaria sugu, leo nitawapeni jinsi ya kutengeneza tiba ya asili ya malaria sugu na guarantee.

Vitu unavyotakiwa kuandaa,

1. kitunguu saum (menya vizuri kisha kitwange)
2. maua ya mpapai dume (yatwange vizuri)
3. limao moja kubwa au matatu yakiwa madogo.
4. majani kumi ya mubhirizi (mubhirizi ni jina la kiha, nalifahamu kwa jina hilo tu, hope yupo anaejua kwa kiswahili anaweza saidia ila huwa yana upana hivi na machungu sana)
5. alovera (toa miba yake kisha kata vpande vdogo vdogo)
6.kijiko kimoja cha unga wa mnyagasozi(lugha ya kiha)

vyote weka katika maji ya lita moja kisha chemsha ibaki nusu lita.

DOSE- kwa siku kunywa kikombe kimoja, kunywa kiasi asubuhi, mchana na jioni.

hivyo kikombe kimoja cha robo lita leo na kingine kesho.

kumbuka kuleta mrejesho.

wako katika ujenzi wa taifa lenye afya
al maarufu kassongo-0713924581
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom