namba moja tuu
Senior Member
- May 4, 2017
- 162
- 142
Napenda kusomea ophthamology and surgery naomba kama kujua kama baadae unaweza kujiendeleza na pia kwa nchi yetu wagonjwa wa namna hii wapo wengi kama wa maalaria
kwa level ya diplomaHizo specialization tofauti, au unaxungumzia level gani mkuu.???wagonjwa ophta ni wengi mno ila surgery inatakiwa uwe hardcore
asante mkuu inaonekana ww unajua sana hongera akosijakuelewa wewe jamaa unataka nini!! kwanza umekosea spelling; inaandikwa hivi "ophthalmology" na iyo ingine tena hii hapa "malaria". Kwa kukosea huko tu ushanitia wasiwasi juu ya uwezo wako!! Halafu unaulizia eti baadae unaweza kujiendeleza... aaarrggghh!!! Hivi unajua ni baada ya kusoma medicine for 5 years then ndio unaspecialize kwenye hizo surgery, opthalmology, obs amd gyne, radiology, dental, pediatric na nyinginezo for 4 years!!?? sasa baadae ya kujiendeleza ulokua unaiongelea ni baadae gani wakati hapo ndo huwa watu tunaspecialize!! Halafu unaulizia wagonjwa tena kwenye surgery dept.??? You don't have medical personality.... Mimi nakushauri ukawe mwalimu tu