Msaada:Nikinywa maji tumbo linauma sana.

Coke Zero

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
1,024
541
Habari za majukumu.
Tafadhali naomba msaada wa haraka,nikinywa maji tumbo langu linauma sana hali inayonipelekea nichukie kunywa maji,ninaweza nikakaa hata siku mbili bila kunywa maji ili niepukane na haya maumivu.
Tafadhali naombeni msaada.
 
Chemsha maji yawe uvuguvugu kisha unywe tuone je bado tumbo lako litauma? We usiache kunywa Maji ndio Uhai wako bora usile chakula kuliko kutokunywa Maji. Unachezea Uhai wako kwa kuto kunywa Maji shauri yako.
 
Asante Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom