Jitibie mwenyewe bure ukiwa nyumbani

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,346
2,047
Habari wakuu.
Kutokana na gharama za maisha kupanda, baadhi ya njia za asili zimegunduliwa au njia za zamani zimeboreshwa.Ukiwa nyumbani, tumia vifuatavyo;

1.Kuvimbiwa - Hali ya tumbo kujaa gesi kutokana na uzalishaji mkubwa wa asidi tumboni
Dawa: Lamba kiasi kidogo tu cha majivu ya mkaa, kwa sababu majivu kiasili ni alkali hivyo yanaenda kukata nguvu ya asidi(neutralize) tumboni na utajisikia kawaida(utapona)

2.Mchaichai - ni mti unaoweza kupanda nyumbani hata kama umepanga. Majani yake ukichemsha kwenye chai badala ya majani ya chai, yanafyonza (dissolve) vipande vya chuma vinavyosagikia kwenye chakula kuanzia vile vya mashine ya kusaga,kijiko tunacholia hadi still wire inayobakia kwenye sufuria.

3.Matatizo ya ngozi yote: ikiwemo miguu kupasuka(magaga /kea/mashilingi), huduma ya kwanza ngozi iliyoungua muda huohuo kwa moto,uji,chai au chochote, ngozi iliyobabuka kwa kutumia dawa za magonjwa (medicine) au vipodozi(cosmetics), vipele,chunusi, vitunutunu kwenye ngozi, fungus sehemu zote za mwili( kama unajikuna hata hadharani), mikunjo ya ngozi ya uzee, ngozi ya kichwa inayokata nywele au kuzuia zisiote au mba.
Dawa: Chimba udongo sehemu iliyotulia kuanzia mita arobaini chini ya ardhi, kisha uponde uwe unga, changanya robo kikombe ya udongo na nusu kikombe ya maji.(Usitumie kijiko au kitu cha chuma kwani kinaua nguvu ya udongo). Paka eneo lenye tatizo kisha acha kwa robo saa mpaka nusu saa, kisha osha. Rudia siku tatu kwa ngozi, siku 7 kwa nyewele.
Muhimu:Kwa kuwa aina ya udongo huu si wote wanaujua, Nimeuandaa kiasi kwa ajili yenu.Nimeambatanisha picha.

Simu: 0713-039875
 

Attachments

  • udongo.jpg
    udongo.jpg
    74.2 KB · Views: 129
Udongo mita 40? Tutahitaji pia tingatinga la kuchimbia mzee
Matapeli wametuandama jamani ..Kwani maisha lazima wote tuishi mjini..Ukichemka nenda kijijini..Hivi mita arobaini unachimbia nini kwahali yakawaidi???naili ukapate kitu gani chaajabu kilicho tiba zadi??kenge mkubwa wewe katapeli wajinga
 
Back
Top Bottom