booyaca619
Member
- Apr 22, 2017
- 19
- 3
Habari zenu wanajf,
Ninahitaji msaada wenu, jana usiku kuna vijana wetu wa kazi wamepigana wakaumizana lakini tuliwapatanisha na mmoja kati yetu akawa anawapatia huduma ya kwanza.
Baadae akaenda kuosha mikono kwa ajili ya damu, baadae kidogo tumekaa mwanangu akamshika yule mtoa huduma kwenye mkono nilipoona nikagundua damu juu ya kidole chake imeganda nikamtoa mtoto lakini aliweza kuweka mkono aliomshikia mdomoni mwake mwenyewe.
Je ipo hatari ya mwanangu kupata maambukizi ya VVU na huyo mtoa huduma pia ni muathirika?
Na wale waliopigana niliwapima VVU wapo salama.