Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Salaaam wakuu Poleni Na majukumu
Nimekuwa nikiteseka sasa takriban week ya pili hii kooh limekuwa likiuma hali inayo sababisha
Kupanda kwa homa kali na kutapika
Nilimuelezea nes duka lamadawa akasema naumwa
Tonces akanipa goodmorn
Nimetumia dozi hadi imeisha lakini sioni ahueni kabisaa bado nahoma kali
Huku nikivuta hewa nahisi kama kuna maumivu kwenye koromeo
Tafadhali wataalamu naomba mnijuze nitatizo gani nanichukue hatua zipi sababu
Nakosa raha kabisa wakuu hata kufanya shughuli zangu sababu tu ya kuumwa na homa
Naomba kuwasilisha Wakuu