Huo unaitwa mkongoraa mkuu
Madereva wengi na walinzi hasa wa migodini hupenda kutafuna mizizi ya mmea huu, unafaida gani nami nianze kutafuna?
Kuogeaok kazi yake nini
Kujisugulia na si kuogea mkuu.Kuogea
Hukukosea kujiita jungle MasterKwa kizungu unaitwa sausage tree (Kigelia africana)
Inasemekana magamba yake au tunda likichemshwa ni dawa kwa ajili ya matatizo ya tumbo na baadhi ya magonjwa ya zinaa
Hii kitu inaitwa MWICHA(ng'wicha) famous name in lake zone
mara nyingi naonaga watu wanautumia ila kwa mwenye kujua naomba anigawie ufahamu.
sio mdodoki. mdogo sio mti mkubwa, ni mmea jamii ya matango ama mabogaMdodoki
Embu weka mizizi ya huo mti nione kama ni mkongoraa
Madereva wengi na walinzi hasa wa migodini hupenda kutafuna mizizi ya mmea huu, unafaida gani nami nianze kutafuna?
IPO wapi hiyo ya kusugua k ntaipataje mkuuMkongoraa bablai
Wamasai wa chuga wanayo sana, inasafisha kibofu na damu, pia ina ladha flan nzuri japo inawasha mdomoni.
Haiongezi nguvu za kiume kama wengi wanavyodhani.
Ila wanayo ya kuongeza nguvu...unasugua K mpaka utakapoamua kumwaga mwenyewe, cha muhimu ule vizuri kabla ya kutumia
Good time jomba.