Aiseee watz ni zaidi ya uwajuavyo ingia google utajua usipoelewa rudi kwa kungwi au nenda clinic nes atakuhesabia
View attachment 511402 kuna mahali niliikuta nahisi inaweza kukusaidia
Nilisoma kwa wengeKauliza namna ya Kuhesabu wiki za Ujauzito sio siku zipi za kupata Ujauzito na zipi hupati
Kwenu hakuna wakubwa nilikujibu hivo nikijua utajiongeza.Si dhambi kuuliza, Kama kila kitu ni Google hata Vyuo na Semina na Makongamano yasingekuwepo
Hapa huenda akapata mengi zaid ya kwenye google Tena kwa mifano ya Mazingira yetu
Ukiona Kichwa chako na Matatizo yako yote ya kielimu umekabidhi kwa Google Tambua umeathiriwa na Utumwa wa Kifikra
Kwenu hakuna wakubwa nilikujibu hivo nikijua utajiongeza.
Asantee sanaUnaanza siku ya kuanza Bleeding ya Mwisho
Makisio ni Wiki 40 tangu siku ya Kwanza ya Mzunguko wa wako wa Mwisho wa hedhi!
Mfano Ulianza ku bleed 1st January na baada ya zile siku za ku bleed huja bleed Tena basi makisio ni kuwa umepata ujuazito Kama ulishiriki Tendo la Ndoa ndani ya tarehe za urutubishaji ndani ya January!
Na Mahesabu ya kuhesabu Wiki kitaalam huanzia 1st January
Chini ya Wiki 35 kujifungua Mtoto ni Hatare kwa kuwa huhesabika kuwa ni Pre mature (njiti)
Zaid ya Wiki 40 si salama pia na inashauriwa kwenda Hospital
Hata aviatar yako unaonekana ni mtu usiyejari yaani(una dharau)Aiseee watz ni zaidi ya uwajuavyo ingia google utajua usipoelewa rudi kwa kungwi au nenda clinic nes atakuhesabia
Naomba ujuzi wakuu, nahesabu vipi ukubwa wa mimba na kukadiria siku ya kujifungua?
*Pia dalili za kujifungua ni zipi?
*kuna wengine wanasema wanachanika matumbo mda ukikaribia Wa kujifungua(kuna ukweli?)
Chukua tarehe ya mwisho ya mwisho ,kumaliza bleed jumlisha siku saba toa miezi mitatu nyumaNaomba ujuzi wakuu, nahesabu vipi ukubwa wa mimba na kukadiria siku ya kujifungua?
*Pia dalili za kujifungua ni zipi?
*kuna wengine wanasema wanachanika matumbo mda ukikaribia Wa kujifungua(kuna ukweli?)