Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mtu na akili zako timamu unampeleka mkeo kwenda kupima jinsia ya mtoto alioko tumboni, ili iweje kwa mfano. Au unaenda kupima DNA ya mtoto ikusaidie nini. Mdada unapanga foleni kupima...
13 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari zenu humu jukwaani, Mtoto anapokuwa kwenye Mfumo wa uzazi/uteras anapokea damu, chakula n.k kutoka kwa mama. Inawezekana vipi kwa mama ambaye ana maambukizi ya VVU kuzaa mtoto ambaye...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari zenu jamani nilikuwa naitaji kufaamu tatizo hili linasababishwa na nini mwanamke kupata maumivu kila wakati wa kujamiiaaa na na mwenza wake na kuwa mkavu kabisa na kupelekea kutofurahia...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Aje wana Jf,nisaidieni kwa anayejua dawa ya jino ambalo limeanza oza kwasababa ya kula vitu vyenye sukari.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na jicho jekundu kwa muda wa kama mwezi mmoja hivi. Kwanza ilipoanza nikajua red eyes so drops na maji ya uvuguvugu nikatumaini ingesaidia. Imeenda drops zikaisha nikaenda...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu habari za majukumu. Mwanangu anasumbuliwa na kigugumizi anashindwa kuongea mpaka anafumba macho. Wakati anazaliwa hakuwa na hali hii, imemuanza baada ya kitimiza miaka miwili na nusu Na...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Za jion wana jf, polen na majukumu ya kutwa nzima. Naomba kuuliza, kuna uhusiano gani kati ya maumivu ya nyonga na ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa? Pili naomba kujuzwa je, majimaji meupe kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamii, naombeni msaada wenu juu ya hili kwakweli sielewi ni nini hasa, Mimi nna mpenzi wangu ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka na nusu sasa na tumeshiriki ngono sio...
0 Reactions
21 Replies
35K Views
Wakuu habar zenu Kama nilivyoanza hapo juu mke wangu anapokuwa period anapata maumivu makali kwenye ut Wa mgongo Kichefu chefu Kizungu zungu Na mwili kupoteza nguvu na miguu kumkauka Kwa mwenye...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini wadau, Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto. Kipindi fulani hapo nyuma nilikutana na binti mmoja hakika alikuwa ni mrembo kupita wastani. Nilivutiwa nae sana na nikaamua kum approach...
7 Reactions
141 Replies
19K Views
Habari wadau, Nilipata tatizo la kukojoa mara kwa mara na mkojo ukawa unauma kiasi ya kwamba nashidwa hata kuuzuia( yaani hata kama niko barabarani ni lazima nitafute sehemu nijisitiri vinginevyo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wataalam naomba kuuliza hivi kuna nini kinatokea ukiweka simu karibu na tumbo ? Mimi nina vidonda vya tumbo. Nikiwa na muda wa kuchati napenda kulalia mgongo halafu nanyanyua miguu juu na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani mm nikijana nipo dar nililla nikaamuka nywere zangu zimenyolewa dizaini kama duara hivi kidogo na niligundua zilikuwa zinawasha pale mpaka leo ni miez miwili nanyoa lakin zinaota kwenye...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habar wana jamii forum nimekuja ili kupata msaada au ushauri...... Nimekuwa sifurahii tendo la ndoa takriban mwezi hivi sasa na hii inatokana na Mke wangu kuugulia maumivu makali chini ya...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Si ajabu sikuhizi ukienda hospitalini kuambiwa una UTI baada ya kupima mkojo. Habari hizi zimenishtua kidogo kwasababu Sasa imekuwa kama ni biashara Fulani hivi kuhusu UTI. Ma Doctor wengine...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Mimi nina tatizo mfano nafanya tendo la ndoa huwa sperm zangu zinaambatana na damu huu ni ugonjwa gani naomba msaada?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf,naombeni ushauri kwa hili nina mwanangu leo ni siku ya pili tokea azaliwe na mama yake maziwa hayatoki na mtoto muda wote anaishia kulia kwa kuhitaji maziwa na huwa...
0 Reactions
62 Replies
15K Views
Habari za jioni ndugu! Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa anayejua gharama za kupandikiza mtoto tafadhali anisaidie na sehemu yenyewe! Pia ukiweka mawasiliano sio mbaya! Ya hukoo wanakotoa...
1 Reactions
66 Replies
21K Views
kwa yeyote anayefahamu hili tatizo nitalitatuaje naomba anisaidie kama unafahamu mahali popote ambapo naweza kupata tiba naomba vilevile uni PM! tatizo lenyewe ni hili miaka kadhaa iliyopita...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Mke wangu ana ujauzito wa miezi 7. Juzi tulikwenda kufanya manunuzi ya vitu kama vile vitenge,kanga na baadhi ya vyombo lakini yote ni maandalizi ya kumpokea kijacho. Tupo...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…