Biashara na UTI kwa Sasa.

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Si ajabu sikuhizi ukienda hospitalini kuambiwa una UTI baada ya kupima mkojo.

Habari hizi zimenishtua kidogo kwasababu Sasa imekuwa kama ni biashara Fulani hivi kuhusu UTI.

Ma Doctor wengine wamevuka mpaka kwa kuwataka wenyewe UTI kuwaleta na wezi wao kapata tiba wakati UTI Si miongoni mwa mgonjwa ya ngono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom