Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,202
- 2,035
Anajitengenezea damu kutoka wapi na je vipi kuhusu chakula anachokula si kina toka kwa mamaMtoto hapokei damu toka kwa mama!!! Anatengeneza damu yake mwenyewe...
Nnavyofahamu maambukizi toka kwa mama kwenda kwa mtoto yanatokea haswa pale mama anapojifungua kama kukitokea mchubuko kwa mtoto kusababisha mchanganyiko wa damu ya mama kwa mtoto...
Pia kipindi cha kunyonyesha (hii sijui imekaaje)
Na huwa inasemekana mama mwenye maambukiz anyonyeshe kwa miez sita pasipo mtoto kula chochote . Hii imekaaje..?Anavyosem Paprika ni sahihi, kuna special filtration katika damu inayokwenda kwa mtoto. Zamani wanawake wanye VVU walishauriwa kujigungua kwa C section lakini hili si swala tena katika nchi zilizoendelea. Hatari ya maambukizi ipo katika kunyonyesha lakini pia USA wanawake wanapewa vidonge na wanaendelea kunyonyesha watoto wao
well said sisterAnavyosem Paprika ni sahihi, kuna special filtration katika damu inayokwenda kwa mtoto. Zamani wanawake wanye VVU walishauriwa kujigungua kwa C section lakini hili si swala tena katika nchi zilizoendelea. Hatari ya maambukizi ipo katika kunyonyesha lakini pia USA wanawake wanapewa vidonge na wanaendelea kunyonyesha watoto wao
Mtoto hapokei damu toka kwa mama!!! Anatengeneza damu yake mwenyewe...
Nnavyofahamu maambukizi toka kwa mama kwenda kwa mtoto yanatokea haswa pale mama anapojifungua kama kukitokea mchubuko kwa mtoto kusababisha mchanganyiko wa damu ya mama kwa mtoto...
Pia kipindi cha kunyonyesha (hii sijui imekaaje)
Hiyo special filtration inachuja virus I vya vvu tu au kuna vingine ambavyo vinachuja na vipi kuhusu mama anayenyonyesha hii imekaajeAnavyosem Paprika ni sahihi, kuna special filtration katika damu inayokwenda kwa mtoto. Zamani wanawake wanye VVU walishauriwa kujigungua kwa C section lakini hili si swala tena katika nchi zilizoendelea. Hatari ya maambukizi ipo katika kunyonyesha lakini pia USA wanawake wanapewa vidonge na wanaendelea kunyonyesha watoto wao
Huruusiwi kumyonyesha after (06) months and above kwa sababu anakua ashaanza kuota fisi ngumu ama yumkini meno kabisa.,, Kwa hiyo ana possibility ya kung'ata chuchu ikatoa damu na ikawa kwish ney...!!
Ni mtazamo tu..,Na samahani kwa kuquote kama ntakua nimekosea,,!!