exaud maxmillian
Member
- May 7, 2016
- 12
- 0
Mimi nina tatizo mfano nafanya tendo la ndoa huwa sperm zangu zinaambatana na damu huu ni ugonjwa gani naomba msaada?
Sawa nimekuelewaWahi hospital mkuu chap
OkDalili za TEZI DUME...!! Consult your google / your doctar..!!