KIGHERA
Member
- Nov 19, 2010
- 84
- 27
Habari wadau,
Nilipata tatizo la kukojoa mara kwa mara na mkojo ukawa unauma kiasi ya kwamba nashidwa hata kuuzuia( yaani hata kama niko barabarani ni lazima nitafute sehemu nijisitiri vinginevyo ntaharibu).
Ikabidi niende hospital,docta akaniambia nina UTI ila aliangalia kisukari akaniambia sina hivyo akanipa dawa za siku 5 nikatumia zikaisha ila sikupata nafuu, nikawa nimesafiri ikanilazimu niende hospital nyingine na kumhadithia docta picha nzima na kwa bahati makasha ya zile dawa nilikuwa nazo nikamuonyesha, akaniambia nipime mkojo na akanifanyia kipimo kingine akaniambia ni kweli nina UTI na imekaa muda hiyo hata ngozi ya kibovu inaonekana ina uvimbe hivyo nae akanipa dawa.
Nikatumia zile dawa zikaisha,bado nikawa naskia tena ile hela hivyo nikarudi kwake akaniamba kuna maendeleao mazuri ila uvimbe haujaisha,akanipa dawa zingine na kunipiga sindano moja nazo nimemaliza last week ila ile hali naiskia bado hivyo napanga nikamuone tena.
Naomba ushauri wenu au kama m2 alipitia tatizo kama langu alifanyaje likaisha, maana linanisumbua kwa nn natumia dawa bado naendelea kulisikia.