Anapata maumivu makali anapokuwa period

mtr96

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
246
186
Wakuu habar zenu
Kama nilivyoanza hapo juu mke wangu anapokuwa period anapata maumivu makali kwenye ut Wa mgongo
Kichefu chefu
Kizungu zungu
Na mwili kupoteza nguvu na miguu kumkauka
Kwa mwenye kujua nini tatizo na nini tiba yake naomba amsaidie maana anateseka

Mtr96
 
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Wakuu habar zenu
Kama nilivyoanza hapo juu mke wangu anapokuwa period anapata maumivu makali kwenye ut Wa mgongo
Kichefu chefu
Kizungu zungu
Na mwili kupoteza nguvu na miguu kumkauka
Kwa mwenye kujua nini tatizo na nini tiba yake naomba amsaidie maana anateseka

Mtr96
Mtafutie pilipili hoho nyekundu ama za njano awe anatumia kama viungo zitamsaidia sana kumaliza hilo tatizo, pia tumia asali kijiko kimoja asbh na kimoja jioni achanganye na mdarasini uliosagwa, pia kitunguu swaumu viwili asbh na jioni avimeze anywe na maji.

Ukizingatia tu hayo period inayofatia atakua poa kabisa na maumivu zitaisha kama sio kupungua
 
Umri wake?
Shida ina muda gan?
Amewahi kuzaa?
Kashawahi kupata shida/ magonjwa yoyote ya njia ya uzazi?
ameolewa/ana bwana?
Maumivu yanaanza kabla ya hedhi au akiwa kwenye hedhi?
Je maumivu yanaendelea baadha ya hedhi?
 
Awe anatumia strong anti pain kama naproxen hii hali inawapataga sana wanawake ambao bado hawajazaa Ila wakishaazaa huwa maumivu yanapungua au yanapotea kabisa.
 
Asante mkuu
 
Nashkuru mkuu ngoja niitafte
Sie tuna mtoto 1 anatimiza miaka 4 sasa
 
Umri wake?
Shida ina muda gan?
Amewahi kuzaa?
Kashawahi kupata shida/ magonjwa yoyote ya njia ya uzazi?
ameolewa/ana bwana?
Maumivu yanaanza kabla ya hedhi au akiwa kwenye hedhi?
Je maumivu yanaendelea baadha ya hedhi?
Kabla ya hedhi ana miaka 24
 
Wakuu habar zenu
Kama nilivyoanza hapo juu mke wangu anapokuwa period anapata maumivu makali kwenye ut Wa mgongo
Kichefu chefu
Kizungu zungu
Na mwili kupoteza nguvu na miguu kumkauka
Kwa mwenye kujua nini tatizo na nini tiba yake naomba amsaidie maana anateseka

Mtr96
Pole yake! Aina hii ya wanaume nj adimu unaumia kwa ajili ya mkeo hadi unaomba ushauri cyo kina baba marwa wao ni balaa!
 
Back
Top Bottom