Msaada: Gharama ya kupandikiza mtoto/mimba!

ABBYA

Senior Member
Mar 22, 2016
169
122
Habari za jioni ndugu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa anayejua gharama za kupandikiza mtoto tafadhali anisaidie na sehemu yenyewe!

Pia ukiweka mawasiliano sio mbaya! Ya hukoo wanakotoa hiyo huduma kama unayo!

Natanguliza shukrani!
 
Kuna moja ipo mikocheni njia panda ya Coca-Cola kule upande wadaraja la jkt. But sina uwakika kama bado ipo around hapo.
 
husikii tena? nakuonya tena na ninarudia tena! ogopa njia hiyo, utakuja kuzaa na majini? muombe Mungu akupe Mume utazaa watoto wazuri tuu!
Kama bado unaamini majini inaonyesha jinsi gani bado hujaelimika
 
Nasikia Nairobi Kenya inafanyika,bei around 20million, hospital ipi exactly na uhakika wa hio bei sijui kwa kweli mana ni hear say
 
Hiyo huduma ha IVF inapatikana "Mwanza Hospital" ipo mtaa wa Rufiji, karibu na uwanja wa Mbugani Shule ya Msingi. Bei ni around 10M to 15M. Kwa Contact nichek PM
 
mmmh kumbe gharama hivi?duuh
 
Back
Top Bottom