Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Wakuu habari za majukumu.
Mwanangu anasumbuliwa na kigugumizi anashindwa kuongea mpaka anafumba macho.
Wakati anazaliwa hakuwa na hali hii, imemuanza baada ya kitimiza miaka miwili na nusu Na hapo awali alikua anaongea vzr kabisaa.
Kinachotupa mashaka tumemkagua tumemuona hapa chini ya ulimi anakingozi kimeshikana na ulimi sasa hatujui ndo tatizo au vp.
Tunaomba msaada wenu kwa wazazi ambao mmepitia hali hii kwa watoto wenu, Na wataalam wenye ujuzi wa jambo hili kabla ya kumpeleka hospital