Habarini wadau,
Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto. Kipindi fulani hapo nyuma nilikutana na binti mmoja hakika alikuwa ni mrembo kupita wastani. Nilivutiwa nae sana na nikaamua kum approach ili ikiwezekana basi awe mchepuko. Alinipa shida kidogo lakini mwisho wa siku nilifanikiwa kumnasa.
Siku moja tukakubaliana kukutana faragha kwa ajili ya mchezo maalum, kweli binti yule alikuwa ameumbika mnoo. Tatizo lilikuja pale nilipopeleka mkono kwa bibi, kweli nilisikia harufu kali mnoo niliposogeza mkono puani. Nikaamua nisiendeleze mbwembwe nyingi za kyzama chumvini, nikaanza ku gegeda, kweli jamani kuna harufu ya uvundo ilikuwa inatoka kutoka kwa bibi harufu ambayo sijawahi kuisikia katika kugegeda kwangu kote tangia nimeanza huu mchezo.
Nakiri, kwa upande wa ku sex huyu binti alikuwa anaweza mno. Kweli niliamua kuvumilia kwa kipindi, nikawa napata shida ni namna gani naweza kumueleza kitu kama hicho. Ikafika kipindi, nikawa namshawishi kabla ya kusex tukaoge, halafu najifanya kumuogesha huku nia ikiwa nimsafishe sana k yake, lakini cha kushangaza ilikuwa tukianza tuu kugegedana, ile harufu inatema kama uvundo, halafu niliko kuna baridi na alikuwa anapenda tugegedane tukiwa tumejifunika blanket, basi akifanya hivyo ndo harufu yote naisikia. Kweli, urembo wa huyu dada ulinifanya nimvumilie kwakuwa hata washkaji walikuwa wananionea wivu mnoo ati mcheps wangu ni mkale kinyama.
Lakini kwakweli, ilifika wakati uvumilivu ulinishinda, kweli nikaamua nijitoe kwenye huu uhusiano, maana ile hali ilikuwa inanipa shida, yaani ilikuwa nikikojoa tuu nakimbilia bafuni kunawa kuondoa harufu. Lakini kweli nakiri nilimuacha yule binti ilhali nikiwa bado nampenda na alikuja kuingia kwenye mahusiano mengine mawili ambayo yote yalivunjika ndani ya muda mfupi. Tumekuwa tukiwasiliana, najua kwa uzuri wake na tabia yake, kinachomfanya watu wamuache ni hiyo harufu. Sijui nifanyeje, natamani nimrudie, ila itabidi nihakikishe tatizo la harufu linaisha kwanza.
Naombeni ushauri.