NUCLEAR BOMB
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 342
- 323
Wataalam naomba kuuliza hivi kuna nini kinatokea ukiweka simu karibu na tumbo ?
Mimi nina vidonda vya tumbo. Nikiwa na muda wa kuchati napenda kulalia mgongo halafu nanyanyua miguu juu na kushika simu hivyo inakuwa karibu na tumbo basi baada ya muda kidogo tu tumbo linanguruma na najisikia maumivu nabadilisha pozi. Lakini kwa vile nimezoea pozi la kulalia mgongo baada ya muda najisahau narudia hilo pozi tumbo linaninguruma tena nashituka na kujigeuza.
Hali hii inanikosesha amani ila sijui nini kinatokea naomba kujuzwa. Ahsanteni.