Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Habar wana jamii forum nimekuja ili kupata msaada au ushauri......
Nimekuwa sifurahii tendo la ndoa takriban mwezi hivi sasa na hii inatokana na Mke wangu kuugulia maumivu makali chini ya kitovu, amekuwa akifurahia staili moja tu na nyingine hukataa au katika harakati za tendo la ndoa linaendelea huanza kulia na kusema anaumia chini ya kitovu hali hiyo hufanya dushelele langu kupooza na kusinyaa na kupoteza hamu ya tendo la ndoa.
Mwenye kujua tatizo hili naomba msaada?