Habari zenu jamani nilikuwa naitaji kufaamu tatizo hili linasababishwa na nini mwanamke kupata maumivu kila wakati wa kujamiiaaa na na mwenza wake na kuwa mkavu kabisa na kupelekea kutofurahia tendo na kuishia kuapata maumivu tatizo hili ni kwa wanawake 60%