Jf nilimuka nimenyolewa nyere kiduara kidogo na hazijaota mwezi wa pili huu vipi kitaaramu.

Apr 3, 2017
88
18
Jamani mm nikijana nipo dar nililla nikaamuka nywere zangu zimenyolewa dizaini kama duara hivi kidogo na niligundua zilikuwa zinawasha pale mpaka leo ni miez miwili nanyoa lakin zinaota kwenye hicho ki duara hazioti nifanye je?.
 
Rafiki yangu nchi ya Vyerehani hapo usiwaulize madaktari ila waulize wataalamu wa yale mambo yetu wanaweza kusaidia
 
Tatizo dogo sana hilo, mtafute MTU mmoja hapo Dar atakusaidia Mimi mdogo wangu walimfanyia hiyo kitu kuna mti Fulani unasugua kwenye jiwe then unapaka hayo maeneo zikaota. Ukiwa tayari ni PM ni mwananyamala kwa mama zakaria si mbali. Dar hiyohiyo.
 
Nenda pangani sehemu inaitwa madanga kuna mzee anaitwa Makata atakusaidia nini cha kufanya tatizo lako ni dogo sana
 
Jamani mm nikijana nipo dar nililla nikaamuka nywere zangu zimenyolewa dizaini kama duara hivi kidogo na niligundua zilikuwa zinawasha pale mpaka leo ni miez miwili nanyoa lakin zinaota kwenye hicho ki duara hazioti nifanye je?.
Bila picha huu uzi ni uongo kipimo cha reli ile inayokuja ya standard sijui geji sijui jeki...yes Tanganyika jeki au Jecha...
 
Dar kuna vigagula.mi maombi yangu vigagula wote majiran wafe ghafla bila kurithisha uchawi wao.
 
Bora wangekunyoa zote ule usiku "uripokuwa umerara" wakakupunguzia gharama za saluni... Sasa fanya hivi "ukirara" tena tumia style ile ulokuwa "umerara" ulivyonyolewa ili waje wamalizie zilizobaki na utakuwa huendi saluni tena!
 
Back
Top Bottom