Ugonjwa wa Presha (Shinikizo la Damu - Hypertension)
Presha ni hali ambapo damu inasukuma kwa nguvu kupita kiasi kwenye kuta za mishipa ya damu kwa muda mrefu, jambo linaloweza kuharibu moyo...
## Ugonjwa wa Bawasili (Hemorrhoids/Piles)
Bawasili ni uvimbe wa mishipa ya damu iliyopo kwenye sehemu ya haja kubwa (rectum na anus) unaosababishwa na shinikizo kupita kiasi kwenye eneo hilo...
Julai 14, 2026 zaidi ya watu 4,000 wamepata huduma za uchunguzi wa awali wa magonjwa ya saratani wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) yanayomalizika katika viwanja...
Ugonjwa wa Ngili (Henia)
Ngili ni hali ambapo sehemu ya ndani ya mwili—kama utumbo au tishu ya mafuta—hujitokeza kupitia sehemu dhaifu ya misuli au tishu inayoshikilia viungo vya ndani, hasa...
Jf doctors nipeni muongozo wakuu, ukiachilia mbali UKIMWI ambao tunaweza jikinga kwa kuvaa condoms huu ugonjwa wa U.T.I hata ukivaa condom unaupata
Je ni njia gani sahihi ya kujikinga na huu...
Kuna wakati nikikaa kuna mlio fulani hivi nausikia sikio moja tu.
Kuna ule mlio unausikia mfano mtu akikupiga kofi la siikio au umejigonga sehemu kwenye kichwa unasikia kitu km kinalia...
Ukichunguza vizuri, utaona U.T.I. kama kifurushi fulani hivi kipya kinachowatafuna watu kimya kimya, tena kwa kasi. Hakichagui watoto au watu wazima, wazinzi au watu waliotulia. Vipi, miaka 20...
Ugonjwa wa Moyo (Magonjwa ya Moyo)
Magonjwa ya moyo ni kundi la matatizo yanayoathiri moyo na mishipa ya damu, ikiwemo mshtuko wa moyo, kuziba kwa mishipa, kushindwa kufanya kazi vizuri kwa moyo...
Wanabodi,
Wenye utaalaam na mambo ya anatomy, naulizia anatomical reasons, why only some do and others don't?.
For those who does, why some just some little fluid and others so much fluid?! appx...
# Ugonjwa wa Kansa
Kansa ni ugonjwa unaotokana na ukuaji usio wa kawaida na usiodhibitiwa wa seli za mwili, ambazo huanza kugawanyika bila mpangilio na kuvamia tishu zinazozunguka au kusambaa...
Kuna magonjwa kadhaa ambayo yanajulikana kwa kuwagharimu watu pesa nyingi wakati wa matibabu, hasa kwa sababu ni ya muda mrefu (sugu) au yanahitaji vipimo/dawa za gharama kubwa:
Magonjwa...
Habari wanajf,
Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu...
Habari za muda huu, wakubwa ningeomba ushauri juu ya nini nifanye kutokana na hii hali ya tumbo langu kujaa gesi yani hua hata mara nne kwa wiki. Pia kuhusiana na ishu ya kilungulila.
Kwa nini ugonjwa unajirudia rudia na kuitwa sugu?
Jibu ni kuwa vimelea vya magonjwa (bakteria, virus na fangasi) huanzia hatua ya mayai , hukua kiasi na kuitwa lava,kisha hukamilika kukua na kuwa...
Nakumbuka hapo zamani nikiwa na 15 niliwahi kuumwa, basi katika kuzunguka kupata suluhisho nililetewa dawa ya asili
Ni majani unayachemsha yanakuwa kama chai ya rangi
Niliponyanyua kikombe na...
Wakuu tuwe wakweli kidogo naamini humu wapo wengi wana hilo tatizo sijui ndo fangasi kwa zaidi ya mwaka mmoja lakini kila siku wanaahirisha kwenda pharmacy kutafuta dawa.Unakuta ukiwaza kwenda...
Wenye magonjwa makubwa tuliwazane hapa
Kama una ugonjwa mkubwa wowote ule njoo hapa tuliwazane hata huna pia unaweza kupitia hapa na kutoa pole kwa member wagonjwa binafsi
Nasumbuliwa na VIDONDA...
Habarini wana jamvi
Mimi na mke wng tuna mtoto mmoja sasa amekua miaka 8 nahitaji mtoto wa pili
Sasa kila akishika mimba inavyofikisha miezi miwili inatoka.
"Nakumbuka ya kwanza kabisa kutoka...
Njia bora ya kuepuka/kuzuia bawasiri ni kuweka kinyesi chako laini, kwa hivyo hupita kwa urahisi. Ili kuzuia bawasiri na kupunguza dalili za bawasiri, fuata vidokezo hivi:
Kula vyakula Asilia...
Securidaca longipedunculata ni mmea wenye faida nyingi za kiafya ambazo hutumika katika tiba za jadi katika sehemu mbalimbali za Afrika. Hapa chini ni faida zaidi zinazohusiana na mmea huu:
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.