Pharamcy ya nyumbani, Jikoni kwako kuna dawa

Pharamcy ya nyumbani, Jikoni kwako kuna dawa

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,802
Reaction score
2,719
__________________



👉ðŸ»Ukiwa na Acid nyingi tumboni kula Tango

👉ðŸ»Ukiwa na tatizo la kutopata choo kunywa mtindi

👉🻠Presha ya kupanda kula ndizi mbivu inaishusha haraka

👉🻠Kuharisha, kunywa kahawa na tia matone kadhaa ya limao

👉🻠Mafua, chai na limao

👉🻠Misuli kukaza, parachichi kwasababu ina magnesium nyingi

👉🻠Cholesterol, kula kipande cha bilii inafanya kazi kama dawa za usingizi

👉🻠Kichwa kuuma, kula chembe 15 za lozi huwa ni sawa na dawa ya aspirin

👉🻠Ukiwa na UTI, chemsha maji na kotmiri unywe asubuhi na usiku kabla ya kulala muda wa wiki

ngani iliyomenywa kabla ya kulala inafanya kazi kama dawa ya livitor

👉🻠Hofu na uwoga, kunywa chai kwa majani ya camomile

👉🻠*Kutopata usingizi,*ishara ya upungufu madini ya magnesium.kunywa chai ya maganda ya ndizi
 
Back
Top Bottom