Ijue Mimea 3 inayotibu magonjwa 5

Ijue Mimea 3 inayotibu magonjwa 5

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,803
Reaction score
2,720
SUPER DOSE 2

.- Dr.Zaganza: Wataalamu andaeni mchanganyiko hapo chini unatibu magonjwa 5
1. Unga wa matunda ya Mtomoko (Annona cherimola) 500gm
2. Unga wa mbegu za parachichi (Persea americana) 500gm
3. Unga wa mizizi ya Mjafari (Zanthoxylum chalybeum) 1000gm

Matumizi
Gram tano za unga katika uji mara mbili kwa siku (asubuhi na jioni).

Formula hiyo inategemea na muandaaji aliandaa kwa makusudia yapi.Kikubwa hapo kuna dose zifuatazo:

1. Vidonda vya tumbo
2. Uvimbe mwilini
3. Presha ya kupanda
4. Presha ya kushuka
5. Matatizo ya moyo Kwa ujumla- moyo kutanuka au moyo mpana
 
natamani kama ungali3ndelea kushare na aina nyingine kulingana Mungu alivyo kujaalia kuijua ili kusaidia watu twasiojua matumizi ya mimea inayo wazunguka huku wakiangaika na matatizo ya kiafya chungu nzima bila suluhu.
 
Dawa za mitishamba ni nzuri tatizo ni moja tu kiwango sahihi cha matumizi kwa Tatizo husika, ubaya nikwamba sisi kwenye kufanya tafiti tuko nyuma sana. Badala yake mitishamba imegeuka kilio kwa kuharibu figo na main ya watu huku wengine kutopona kutokana na kutojua kiwango sahihi cha matumizi
 
si kila mtu ana kibali cha kuchuma au kutoa izo dawa na hpo ndipo tatizo lilipo ama anzia kama hujui unaweza sema ni ushirikina ila dawa za miti shamba zina mashatti na hatua tofauti kulingana tatizo husika.

na kuna baadhi ni kama chakula tu ila pindi ukichanganya na za hospitali huleta madhara makubwa kwa mtumiaji bila kujua mfano: pilipili Manga huwa ni hatari sana kuitumia pindi unatumia dawa za hospital mana hufanya ufyonzaji wa ile dawa na viambata vvyakekwa kasi ya 5G. be ware
 
natamani kama ungali3ndelea kushare na aina nyingine kulingana Mungu alivyo kujaalia kuijua ili kusaidia watu twasiojua matumizi ya mimea inayo wazunguka huku wakiangaika na matatizo ya kiafya chungu nzima bila suluhu.
search nyuzi zangu ,kila ugonjwa nimeshare kwa uzi wake ili anayejifunza apate kuuliza na kujibiwa ili kujifunza zaidi. Maarifa ukishare yanaongezeka, Pesa uki-share zinapungua
 
Dawa za mitishamba ni nzuri tatizo ni moja tu kiwango sahihi cha matumizi kwa Tatizo husika, ubaya nikwamba sisi kwenye kufanya tafiti tuko nyuma sana. Badala yake mitishamba imegeuka kilio kwa kuharibu figo na main ya watu huku wengine kutopona kutokana na kutojua kiwango sahihi cha matumizi
Uko sahihi. So mitishamba pekee, hata ARV ziko orodha ya kuharibu figo baada ya pombe. Ndo maana tukasomea MUHAs na nje ya nchi ili kuwa na weledi ikiwemo toxicology ( kiwango cha sumu), efficacy (ufanisi), phytochemistry (viini dawa vilivyopo kwa kila mmea)
 
Dawa za mitishamba ni nzuri tatizo ni moja tu kiwango sahihi cha matumizi kwa Tatizo husika, ubaya nikwamba sisi kwenye kufanya tafiti tuko nyuma sana. Badala yake mitishamba imegeuka kilio kwa kuharibu figo na main ya watu huku wengine kutopona kutokana na kutojua kiwango sahihi cha matumizi
Matatizo ya Figo anza kulaumu pombe
 
Back
Top Bottom