Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Polen na kazi ya kusafisha nchi yetu,naomba munieleweshe kwa wanaotumia hiki chombo water dispenser majumban kwao, hivi ni lazima kutumia haya maji ya kiwandani (ready purified) kama ya uhai au...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Jamani kama nilivyotanabaisha hapo juu, nimepata kabinti karembo kama wiki mbili zilizopita. Sasa nauliza kwa wakongwe, hivi mgegedo napata baada ya muda gani mabaharia!
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Kuna jamaa angu ana tatizo la kusikia, ametumia dawa mbali mbali lakini hazijafanya kazi. Je afanyaje ili apone?
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Ukatili dhidi ya watoto umetajwa kusababisha magonjwa ya akili na wazazi wametakiwa kuchukua hatua haraka wanapoona mabadiliko ya hisia yasiyo ya kawaida kwa watoto wao kwani ni dalili ya kuanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Tatizo la vipele shingoni na mgongoni kwa mtoto wa miezi sita, linasababishwa na nini maana linaongezeka na kumuwasha kwa kasi, msaada kwa anayejua tiba yake. Asante
2 Reactions
13 Replies
20K Views
MAJI YA UVUGU VUGU TAFADHALI SAMBAZA KWA FAMILIA NA MARAFIKI, NI MUHIMU NA INAWEZA KUOKOA MAISHA YA MTU. Jopo la madaktari wa Kichina limethibitisha kwamba maji ya vuguvugu yana uhakika wa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, nimepima hiki kipimo ili kujua uwezo wangu wa kuzalisha. Naomba msaada Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mimi mgeni hapa JF, napenda kuuliza kama kuna ambao mmewahi kuugua vidonda vya tumbo mkawa na tatizo la ukosefu wa usingizi, uoga uliokithiri, moyo kwenda mbio sana, kusahau sahasu, hasira...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Assalam wakuu, Nina sister wangu anakuwa na dalili zifuatazo: 1) Maumivu ya kichwa na moyo kwenda mbio 2) Baada ya hali tajwa hapo juu hupatwa na kama degedege hivi yaani huzimia na kutokwa na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii ni sumu ambayo inatolewa na nyoka wakati wa kung'ata mtu, asilimia kubwa ya nyoka ambao wapo kwenye mazingira yetu hua hawana sumu yaani kimsingi ukiona mtu ameng'atwa na nyoka leo afu kesho...
7 Reactions
20 Replies
17K Views
Nimejaribu kusoma article nyingi za afya kuhusiana na madhara ya punyeto sijawai ona punyeto inasababisha matatizo ya nguvu za kiume. Sema sasa ukiingia Instagram na Facebook aiseee utakutana na...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Wataalam habari za usiku huu? Baada ya kukaa na mwanamke kwa miezi sita matokeo yakiwa bila bila tuliamua kwenda hospitali fulani ya binafsi kufanya vipimo, majibu yalikuwa kama ifuatavyo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa nahisi nimezidiwa na hormone za wenzetu wa upande wa pili. Nahitaji msaada ni hospital au centre gani Moshi au Arusha inaweza kunisaidia kutibu au dawa, maana napata tabu mno. Nipo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Najua humu wataalamu wa masuala ya afya wamejaa na kwa uwezo wa Mungu mtanipa ABC's. Ni hivi mke wangu ana mimba ya wiki 10 sasa ila analalamika sana maumivu ya tumbo kuzunguka kitovu tumeenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Utafiti mmoja wa kiafya duniani umeonyesha ongezeko la asilimia 82 la watu wanene kupita vifo vinavyotokana na kunenepa kupita kiasi ni mara tatu zaidi ya vifo vinavyosababishwa na kukosa chakula...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wadau. Mwanzo nilikuwa namwaga mapema ndani ya dakika 1 then naendelea tena kudoo bao la pili naenda hata lisaa lizima sijamwaga mpaka mwanamke anataka kukimbia. Sasa nikataka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Matunda ni moja ya vitu muhimu kwa ujenzi wa mwili wa binadamu, kwa sababu yanavirutubisho vingi vinavyosaidia mwili kuwa na afya bora na miongoni mwa matunda hayo ni embe. Tunda hili lina ladha...
2 Reactions
6 Replies
8K Views
Leo asubuhi jamaa kanipigia simu nikawa naongea huku nakula nanasi. Jamaa kasema naona ndio unakunywa chai nikwambia ndio hapa napata tunda langu adimu nalolipenda la nanasi. Kasema okay ila...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Hili limekuwa tatizo sana hasa huku Kanda ya Ziwa. Nini tiba au kinga ya hili tatizo la kutoka harufu mbaya puani hasa kwa wanaume?
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom