Fahamu umuhimu wa kutumia maji ya vuguvugu kiafya

jabirj864

Member
Nov 22, 2019
9
13
MAJI YA UVUGU VUGU
TAFADHALI SAMBAZA KWA FAMILIA NA MARAFIKI, NI MUHIMU NA INAWEZA KUOKOA MAISHA YA MTU.

Jopo la madaktari wa Kichina limethibitisha kwamba maji ya vuguvugu yana uhakika wa asilimia 100% katika kutatua matatizo kadha wa kadha ya kiafya kama vile:
1. Kipanda uso (Migraine)
2. Shinikizo la juu la damu
3. Shinikizo la chini la damu
4. Maumivu ya viungo
5. Ongeza na kupungua kwa ghafla kwa mapigo ya moyo
6. Kifafa(epilepsy)
7. Kuongezeka kwa kiwango cha kolestro(mafuta katika mishipa ya damu)
8. Kikohozi
9. Uchovu wa mwili/ kutojisikia raha
10. Maumivu ya Golu
11. Pumu
12. Kikohozi kisichokoma
13. Kuziba kwa mishipa ya damu
14. Magonjwa yanayohusiana na mfuko wa uzazi pamoja na mkojo
15. Matatizo ya tumbo
16. Kukosa hamu ya kula
17. Pia magonjwa yote yahusuyo macho, masikio na koo.

JINSI YA KUTUMIA MAJI VUGUVUGU
Amka asubuhi mapema na kunywa angalau glasi mbili (2) za maji vuguvugu tumbo likiwa bado tupu (ukiwa hujala chochote). Inaweza isiwe rahisi kunywa glasi (2) mbili mwanzoni, lakini taratibu utaweza na kuzoea.

ZINGATIA:
Usile kitu chochote kwa dakika 45 baada ya kunywa maji vuguvugu.
Tiba ya maji vuguvugu itatatua matatizo ya kiafya kwa muda usiopungua:

• Kisukari ni siku 30
• Shinikizo la damu ni siku 30
• Maumivu ya tumbo siku 10
• Aina zote za saratani ni ndani ya miezi 9
• Kuziba kwa mishipa ya damu ni ndani ya miezi 6
• Kukosa hamu ya kula ni ndani ya siku 10.
• Mji wa mimba au mfuko wa uzazi na magonjwa mengine yanayohusiana na hayo ni ndani ya siku 10.
• Matatizo ya pua, sikia na koo ni ndani ya siku 10.
• Matatizo ya wanawake ni ndani ya siku 15.
• Magonjwa ya moyo ni ndani ya siku 30.
• Maumivu ya kichwa au kipanda uso ni ndani ya siku 3.
• Kolestro ni ndani ya miezi 4.
• Kifafa na kupooza/ kufa ganzi kusikokoma ni miezi 9.
• Pumu ni ndani ya miezI 4

MAJI YABISI/BARIDI SI MAZURI KWA AFYA YAKO
Kama maji baridi hayatokuathiri ukiwa mtoto yatakuathiri ukiwa mzee.
• Maji baridi hufunga mishipa ya moyo na kusababisha mshtuko wa moyo. Vinywaji baridi ni kisababishi kikubwa cha mshtuko wa moyo.
• Pia maji baridi baridi hutengeneza tatizo katika ini, inapelekea kukwama kwa mafuta kwenye ini, watu wengi wanaosubiri upandikizi wa ini ni wahanga wa matumizi ya maji baridi.
• Maji baridi huathiri kuta za ndani za tumbo. Yanaathiri utumbo mpana na matokeo yake ni Saratani.
 
Back
Top Bottom