Ni hospitali gani au clinic hapa Moshi inatibu tatizo la hormone imbalance?

Visacard

JF-Expert Member
May 12, 2017
233
215
Naomba kujuzwa nahisi nimezidiwa na hormone za wenzetu wa upande wa pili. Nahitaji msaada ni hospital au centre gani Moshi au Arusha inaweza kunisaidia kutibu au dawa, maana napata tabu mno.

Nipo serious. Nipo Moshi.

Maelezo kuhusu tatizo (refer my threads)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujuzwa nahisi nimezidiwa na hormone za wenzetu wa upande wa pili nahitaji msaada ni hosptal au centre gani moshi au arusha inaweza kunisaidia kutibu au dawa...maana napata tabu mnoo

Nipo serious nipo moshi...maelezo khusu tatizo (refer my threads)

Sent using Jamii Forums mobile app
KCMC
 
Naomba kujuzwa nahisi nimezidiwa na hormone za wenzetu wa upande wa pili. Nahitaji msaada ni hospital au centre gani Moshi au Arusha inaweza kunisaidia kutibu au dawa, maana napata tabu mno.

Nipo serious. Nipo Moshi.

Maelezo kuhusu tatizo (refer my threads)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafute no 0718069047/0688184620 Hilo tatizo la homon in balance linaisha kabisa.
 
Naomba kujuzwa nahisi nimezidiwa na hormone za wenzetu wa upande wa pili. Nahitaji msaada ni hospital au centre gani Moshi au Arusha inaweza kunisaidia kutibu au dawa, maana napata tabu mno.

Nipo serious. Nipo Moshi.

Maelezo kuhusu tatizo (refer my threads)

Sent using Jamii Forums mobile app
Tibalishe zitakazo maliza hili tatizo na kurudisha furaha yako Ni,
(SOYBEAN CAPSULE Ni TSH 82,600. ,SOY ISOFLAVONE CAPSULE ni TSH 59,000, VITAMIN E 59,000. ALOE CAPSULE 70800 na SPIRULINA 59,000, Dozi nzima Ni TSH 330,400.
Tibalishe zitarekebisha mfumo mzima wa uzazi

1.Husafisha mfumo mzima wa uzazi,Zinabalance hormone,Zinazibua Mirija ya uzazi iliyoziba na kuuweka mji wa uzazi (Uteras) katika hali nzuri zaidi na kuweka uwiano sawa wa homoni.
2.Zinasaidia mayai ya kike kukomaa haraka na kuwa na afya,huondoa maumivu makali wakati wa hedhi.
3.Zinarekebisha mzunguko wa hedhi.Mfano hedhi isiyo na mpangilio maalumu (ndefu, fupi) au isiyotoka kabisa.
4.Wanaotokwa na Uchafu sehem za siri
5.Wanaopata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
6.Wenye tatizo la Mimba kuharibika Mara kwa Mara.
7.Hufanya ngozi ya mwanamke kuwa nyororo, laini na ya kuvutia wakati wote (Zinachelewesha uzee)
8.Husaidia kuweka sawa ukuaji wa viungo vya uzazi (via vya uzazi, mirija ya uzazi na matiti)
9.Zina uwezo wa kuzuia seli za mwili kutengeneza na kuchochea kansa katika mwili
10.Zinasaidia kuondoa madoa katika ngozi na kuipa ngozi rangi yake ya asili, huifanya ngozi ing'ae na kuwa yenye kuvutia zaidi
11.Ni nzuri kwa kutumiwa na wanawake ambao ngozi yao inaharibika kwa urahisi na kwa wale wenye allergy ya ngozi
12.Ni nzuri kwa wanawake wenye matatizo ya mfumo wa uzazi Mfano:-Hedhi isiyo na utaratibu mzuri, maumivu makali wakati wa hedhi na wale wanaokaribia/washaribia uzazi kufunga "Menopause"
13.Zinachangamsha mwili kwa wanaofanya kazi ngumu na kusababisha mwili kuchoka haraka (Kama:- kushinda jikoni au juani kwa kipindi kirefu)
14.Zinaweza kutumiwa ba madereva (kike) na wafanyakazi wanaotumia vifaa vya umeme (Kama:Mashine, Kompyuta, Au Simu za mkononi) kwa muda mrefu kiasi cha kuweza kuathiri mfumo wa fahamu
15.Zinasaidia Viungo vingine (Kama:Ini, figo, mifuko ya mayai) kufanya kazi vizuri
16.Zina uwezo mkubwa wa kuondoa sumu zinazozalishwa na seli hai Mfano Seli za ngozi za mwili (ant-oxidant power is 30-50 times that of vitamin C and vitamin E).17.Zina uwezo wa kuongeza cervical mucus,ambayo ni majimaji au Ute Ute unaovutika ambao unatoka siku ya 14,hivyo huwezesha mbegu za kiume kusafiri kirahisi kwa mda mrefu.18.Zinawezesha yai liwe na afya hivyo kupunguza uwezekano wa kupata kiumbe chenye kasoro.call 0718069047/0688184620.
 
Back
Top Bottom