Mazoezi haya yamenimaliza nguvu za kiume

Fuqin

JF-Expert Member
Dec 2, 2018
293
593
Habari zenu wadau.

Mwanzo nilikuwa namwaga mapema ndani ya dakika 1 then naendelea tena kudoo bao la pili naenda hata lisaa lizima sijamwaga mpaka mwanamke anataka kukimbia.

Sasa nikataka kusolve tatizo la kumwaga mapema liishe. Nikaingia Google nikaona zoezi hilo hapo pichani nikawa nalifanya.

Sasa baada ya wiki 1 nikienda kudoo namwaga ndani ya dakika 1 ila sasa bao la pili ndio ikawa kimbembe hata dakika 5 sichukui nishamwaga tofauti na mwanzo kabla ya zoezi nikilikuwa naenda mpaka lisaa 1.

Sasa nikaanza mazoezi ya level kwa miezi 2 na nusu ila sikupona. Nikawa nakunywa juice ya tende ila sikupona. Nikanywa juice ya tikiti sikupona. Nikala mbegu za maboga pia sikupona.

Mpaka leo hiii hali ndo hiyo sasa wadau hilo zoezi limeniharibu naombeni ushauri wenu mimi kama ndugu yenu. Miaka yangu 22 na nimeoa tayari sio bahari mimi.

images%20(1).jpeg
 
Kifuani kwa mwanamke sio mapenzi bali nikumchosha cha msingi izo dk 5 unapo do unagusa angle zote ?
Unamkuna anapotakiwa mpk akojoe kila kitu ni skills na experience sasa wewe unaweka tu Mkuyenge unatoa ata hautafuti weak point na G spot
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom