Punyeto inapunguza nguvu za kiume kweli?

Punyeto inapunguza nguvu za kiume kweli?

wakusoma21

Member
Joined
Nov 16, 2019
Posts
29
Reaction score
79
Nimejaribu kusoma article nyingi za afya kuhusiana na madhara ya punyeto sijawai ona punyeto inasababisha matatizo ya nguvu za kiume.

Sema sasa ukiingia Instagram na Facebook aiseee utakutana na wataalamu wa kujitegemea ambao ni wafanyabiashara wa vumbi la kongo wanakuambia sababu kubwa ya upungufu wa nguvu za kiume ni punyeto.

Binafsi nabisha, kama kuna mtu ni muathirika aje aseme ukwel kama hana nguvu za kiume kwa sababu ya punyeto.
 
wakusoma21, mimi napiga punyeto na huu ni mwaka kama wa 5, sema siku hizi nmepunguza, jana nmelala na demu, na leo kuna demu mwingne ana msambwanda balaa, kanikazia papuchi, ko nmepga nyeto.

Ila demu wa jana, bao la kwanza kama kawaida kimbele mbele ila la 2, zaidi ya dk. 25 lilikua bado na demu akawa anasema amekojoa na analalamika nishuke, mwishowe alilalamika sana nkaona isiwe tabu.

ila sijui but watu nyeto tunakula na show ni balaa
 
Hili zowezi halijawahi kuwa na madhara, na hasa nakushauri utumie sabuni ya unga ndio hasa huongeza ufanisi bila tashwishwi...
[emoji23][emoji23][emoji23] atachubua ngozi kabisa huyo kama kufulia tu inachubua mikono nangozi yahuku nje niimara kidogo sasa yahuko ilivyo laini si hatari unataka mwenzi ashindie msuli muda wote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu 2005 napiga nyeto, kitandani mambo fireee ileile.

Sasa nyie endeleen kujidanganya hapo.
 
Inasemekana mtu Ambaye Amewahi kujua hili jina la punyeto Basi ashajaribu na yeye kupiga japo wapo wanao jaribu na kuwa wahanga wa Muda mrefu... Ila ukweli nikuwa huwez kuijua nyeto kwa kusimuliwa au kuisoma harafu Usiipige.
 
Mimi mara ya kwanza kupiga nyeto ilikua 1996 na mpaka leo nimeshaoa na nina watoto na bado hua nangurumisha mara moja moja sijawahi kuona madhara yoyote. Cha maana ni kujiweka fiti kiafya kwa mazoezi na kula vizuri. Hayo wanayoyaita madhara mimi kwangu naona ni faida, mfano kutokua na hamu ya ngono - hiyo ni faida kwani inakuepusha na maradhi, gharama nk. Pia badala ya kuwaza wanawake wewe unakua unawaza mambo ya msingi mfano masomo, kazi nk.
 
hakuna mwanaume rijali ambae hajawahi kupiga nyeto...
ikiwa hadi mimi nimekulia kwa dini sana bt genye ilikua ikizidi napunguza then natubu,
Nb:nyeto haina madhara kabisa labda usifanye kwa sabab ya makatazo ya dini zetu
 
Hichi chama siku hizi kimepoa sana imekuwaja siku hizi wanachaputa mmepunguza harakati zenu za kutetea maslahi yenu
 
Back
Top Bottom