Fahamu matatizo mbalimbali ya unene kupita kiasi na namna ya kukabiliana nayo

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,427
2,000
FAHAMU MATATIZO MBALIMBALI YA UNENE KUPITA KIASI NA NAMNA YA KUKABILIANA NAYO.jpg

Utafiti mmoja wa kiafya duniani umeonyesha ongezeko la asilimia 82 la watu wanene kupita vifo vinavyotokana na kunenepa kupita kiasi ni mara tatu zaidi ya vifo vinavyosababishwa na kukosa chakula chenye lishe, ingawa bado nchi nyingi zinapambana na ukosefu wa chakula.

Majid Ezzati, ambaye ni Profesa wa Afya ya Mazingira Duniani katika chuo cha Imperial cha London, Uingereza, alikuwa ni mmoja wa watafiti hao.

Matatizo ya siku kwa siku ya unene kupita kiasi:

 • Kupumua kwa shida
 • Kutokwa jasho kwingi
 • Kukoroma ukiwa umelala
 • Kushindwa kufanya shughuli za nguvu
 • Kujisikia mchovu mara kwa mara
 • Maumivu ya joint na mgongo
 • Kushindwa kujiamini na kutojikubali
 • Kujihisi umetengwa
 • Huweza pia kusababisha mfadhaiko

Magonjwa hatarishi yanayoweza kusababishwa na kuwa na unene uliopitiliza ni kama yafuatayo:

 • Kisukari aina ya 2
 • High blood pressure(shinikizo la juu la damu)
 • High cholestrol (lehemu nyingi)
 • Ugumba
 • Asthma
 • Kiharusi (Stroke)
 • Magonjwa ya mishipa ya moyo (Coronary heart disease)
 • Aina tofauti za kansa kama vile kansa ya utumbo mpana,kansa ya matiti na kansa ya mfuko wa mimba
 • Mawe kwenye mfuko wa nyongo (gallstone)
 • Ugonjwa wa maungio ya mifupa wa Osteoarthiritis
 • Magonjwa ya ini
 • Magonjwa ya figo
 • Bawasili
 • Ngiri
 • Upungufu wa nguvu za kiume
 • Kisukari wakati wa ujauzito (gestational diabetes)
 • Presha ya mwanamke wakati wa ujauzito (Pre-eclampsia)

Tumia matunda, mboga na maji ya vuguvugu yakutosha, fanya mazoezi na punguza kupakia vyakula vya kutoka viwandani.

Ukitaka Dawa ya kupunguza unene nitafute kwa wakati wako nipate kukupatia.

Ukiwa na Shida yoyote ile usipo pona kwa dawa za hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu.

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com WhatsApp +447459370172

Au ni add kwa Facebook tumia jina hili
Herbalist mzizimkavu.

Au kopi hapa: Herbalist MziziMkavu
 

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
6,165
2,000
Na bado watu wanabisha kunenepa ety sio kula sana.
Yan ukila sana vyakula vya fat na carbohydrates bila kufanya kazi ngumu kunene ni lazima.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom