Mke wangu ana mimba ya wiki 10 sasa ila analalamika sana maumivu ya tumbo

Chilogole

JF-Expert Member
Jun 18, 2019
291
272
Najua humu wataalamu wa masuala ya afya wamejaa na kwa uwezo wa Mungu mtanipa ABC's.

Ni hivi mke wangu ana mimba ya wiki 10 sasa ila analalamika sana maumivu ya tumbo kuzunguka kitovu tumeenda hospitali wakampa dawa za UTI lakini bado maumivu yapo pale pale.

Pia naomba kujua ikiwa mtoto yupo upande wa kushoto mwa tumbo, je kutaathiri ukuaji wake maana akiwa amelala chali upande wa kushoto mwa tumbo huwa mgumu tofauti na sehemu zingine.

Naombeni mnisaidie wataalamu
 
Kuwa kushoto au kulia kwa mtoto hakuathiri chochote kimhusisho mtoto ni kawaida kuumwa tumbo miezi ya mwanzo ya ujauzito awe anahudhuria tu clinic akiona mabadiliko amuone Dokta
 
Back
Top Bottom