Vipele vinavyowasha kwa mtoto mchanga

Pole sana elimuplatform

Hata mimi pia mwanangu wa mwaka mmoja na nusu ana hilo hilo tatizo yaani vipele vinamuota kwa kasi alafu hata chanzo hakijulikani ni nini mpaka nakuwa na wasi wasi mwingi.

Wataalamu nao wanaungalia tu huu uzi wanapita bila hata kutudokeza.

Naomba ukipata suluhisho usiache kunishtua na mimi
 
Habari, Tatizo la vipele shingoni na mgongoni kwa mtoto wa miezi sita, linasababishwa na nini maana linaongezeka na kumuwasha kwa kasi, msaada kwa anayejua tiba yake, asante
Wangu miez mitano nimekanyaga hospital dawa hazimsaidii vimehamia na kwang nawashwa balaa
 
Mimi nilihangaika Sana na nilikuja kuomba msaada hapa ila sikufanikiwa, nilitumia gharama nyingi Sana mpaka nikaja muhimbili, alafu wangu ni mapacha, vilisambaa mwili mzima vikawa kama kidonda,ila nikja kupata dawa mpaka nikashangaa,
 
Inawezekana ni allergies, mafuta mnayotumia au material ya nguo wanazovaa poleni
 
Kuna tube inaitwa elcome 0.1%,nenda maduka ya pharmacy inauzwa kati ya 20000 ama 25000
 
Inawezekana ni allergies, mafuta mnayotumia au material ya nguo wanazovaa poleni

Watoto wachanga wanashauriwa uwavishe nguo zenye material za cotton na sio vinginevyo. Na unapo fua hizo nguo usitumie sabuni kali. Na kama utatumia sabuni kali, basi nguo zisuuzwe vizuri na maji mengi kuondoa sabuni.

Hakikisha pia unabadili nguo za mtoto mara kwa mara hasa anapotoka jasho.

Lakini pia kama Evelyn Salt alivyosema wazazi wengi huwa wana complicate kuhusu mafuta ya kupaka. Mtoto mdogo hahitaji mafuta yanayonukia na yaliyo jaa vikorombwezo kibao. Mara nyingi mafuta ya vaseline petroleum jelly yanatosha sana kwa mtoto.

Pia jaribu kuangalia maji anayotumia mwanao kuoga. Kama ni ya chumvi sana basi badili awe anaoga ambayo sio ya chumvi ili uone kama kuna mabadiliko.

Lakini pia chakula unachompa. Inawezekana kuna vyakula vinampa allergy. Labda kwenye uji unaweka mayai, au siagi.

Wewe kama mzazi inatakiwa angalau ujitahidi kujua nini kinampa tatizo ili hata ukienda kwa daktari unapomwelezea anapata mwanga.
 
Tumia mafuta ZinCast,kisha use unampaka mafuta ya Nazi tengeneza mwenyewe uweke na iliki.Acha kula samaki,Karanga,nyama ya nguruwe mafuta ya samli maana mtoto anapata allergy kupitia maziwa yako
 
Watoto wachanga wanashauriwa uwavishe nguo zenye material za cotton na sio vinginevyo. Na unapo fua hizo nguo usitumie sabuni kali. Na kama utatumia sabuni kali, basi nguo zisuuzwe vizuri na maji mengi kuondoa sabuni.

Hakikisha pia unabadili nguo za mtoto mara kwa mara hasa anapotoka jasho.

Lakini pia kama Evelyn Salt alivyosema wazazi wengi huwa wana complicate kuhusu mafuta ya kupaka. Mtoto mdogo hahitaji mafuta yanayonukia na yaliyo jaa vikorombwezo kibao. Mara nyingi mafuta ya vaseline petroleum jelly yanatosha sana kwa mtoto.

Pia jaribu kuangalia maji anayotumia mwanao kuoga. Kama ni ya chumvi sana basi badili awe anaoga ambayo sio ya chumvi ili uone kama kuna mabadiliko.

Lakini pia chakula unachompa. Inawezekana kuna vyakula vinampa allergy. Labda kwenye uji unaweka mayai, au siagi.

Wewe kama mzazi inatakiwa angalau ujitahidi kujua nini kinampa tatizo ili hata ukienda kwa daktari unapomwelezea anapata mwanga.
Vaseline ya mgando hayafai, labda ya maji
 
Kila mtoto huja na ngozi yake. Vaseline petroleum jelly ya baby ambayo ni tripple purified is the best.

Kila mzazi anatakiwa ajaribu na kujua ni mafuta gani mazuri kwa mwanae na hasa ukizingatia hali ya hewa. Kila mtoto yupo tofauti na mafuta anayo paka huyu mtoto sio anayoweza kupaka yule mtoto.
 
Kuna Zincast cream haya mafuta mazuri sana, mi nlimjaribu hiyo vaseline ngozi iliharibika vibaya mno
 
Ni kweli kabisa ZincCast ni nzuri sana hasa mtoto anapokuwa na michubuko kwa sababu ya diaper na nappy rash.

Japo mtoto mwenye allergy ya karanga na soya ni kama utakuwa unachochea ugonjwa.
 
Habari, Tatizo la vipele shingoni na mgongoni kwa mtoto wa miezi sita, linasababishwa na nini maana linaongezeka na kumuwasha kwa kasi, msaada kwa anayejua tiba yake, asante
Habari ndugu, vipi suluhisho la hili tatizo lilikuwa ni nini? Mana nna shida kama hii kwa mtoto wangu. Asante
 
severinembena
Aise mwanangu pia wa mwaka na nusu anahili tatzo, nikasema nipite huku naweza pata suluhisho. Vinaongezeka kila siku, na watoto naona watu wengi kwa sasa wanalalamika sjui tatzo ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom