Ushauri kuhusu dalili hatarishi za vidonda vya tumbo

Ushauri kuhusu dalili hatarishi za vidonda vya tumbo

Mvuanyingi

Member
Joined
Oct 17, 2019
Posts
6
Reaction score
5
Wadau mimi mgeni hapa JF, napenda kuuliza kama kuna ambao mmewahi kuugua vidonda vya tumbo mkawa na tatizo la ukosefu wa usingizi, uoga uliokithiri, moyo kwenda mbio sana, kusahau sahasu, hasira zisizo za lazima, maumivu makali ya mgongo, kupungua kwa uwezo wa ubongo kupambanua mambo, mwili kukosa nguvu, kujamba kila wakat,n.k.

Naomba kama mpo mnisaidie ushauri mlifix vipi tatizo hili.
 
Back
Top Bottom