Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

habari ndugu zangu mimi ni kijana wenu humu naomba kusaidiwa mawazo uume wangu ni mkubwa mno kiasi kwamba nimejikuta sidumu kwenye mahusiano na sababu wanasema wanshindwa kumudu nini naweza fanya...
3 Reactions
83 Replies
14K Views
Sustainable and healthy Human life is the output of wellbeing of various sectors integrated to work as one system. There is a greater degree of interdependency between one thing happening in one...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
mwanangu anahangaika sanaaa kachoma sindano WAP Msaada wa dawa bac Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Kwa watu wengi kufanya kazi wakiwa nyumbani ni uzoefu mpya na wasichojua ni kuwa inahitaji nidhamu ya juu kumaliza kazi na kupata matokeo chanya. Fanya haya ili uweze kupata matokeo chanya. 1...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari, Mimi ni mgeni hapa JF. Ni mgeni maana nimefungua account leo. Ila nimekua nikisoma na kufuatilia mjadala mbali mbali ya afya humu ndani kwa miaka mitatu ila sikua nachangia. Nina...
10 Reactions
124 Replies
20K Views
Wanajamii nimeona mara kwa mara habari ya kupunguza kitambi na rehemu mwilini watu wakisema ni kunywa maji ya limao, tangawizi na asali naomba kujua ni kwa kiasi gani na kwa muda gani wa kutumia...
0 Reactions
28 Replies
57K Views
Habari, wakubwa heshima yenu. Mimi ni kijana umri ni 25 Me, kwanza nianze kwa msemo wa kiswahili usemao "mficha maradhi kifo humuumbua" nimeona leo nifunguke apa ili nipate ushauri kabla ya...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Hivi kuna mahusiano gani ya hiki kijiti kuwekwa begani kinaenda kufunga kizazi mimba isitungwe. Naombeni kufundishwa na Madoctor mlioko humu.
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Hivi naweza kuviita vijidudu viwili vimekua vikileta shida na matatizo sana katika mwili wa binadamu toka enzi na enzi. Virus (Kirusi) ni mdudu ambae hawezi kuzaa ama kua na athari bila ya kuwapo...
10 Reactions
18 Replies
6K Views
wakuu nimekuwa nasikia sana kuhusu kuwepo kwa dawa ya kuongeza nguvu za kiume iitwayo vumbi la Congo. Wanadai ni dawa ya asili kutoka Congo. Kwa uelewa wangu wengi hawa wanaodai dawa ni asili huwa...
5 Reactions
43 Replies
23K Views
Nimeomba ushauri jinsi ya kujiondoa "Chaputa"
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za Usiku huu ndg zangu, Leo hali yangu siyo nzuri sana kwani naumwa mafua makali yaliyo ambatana na kipanda uso, paji lote la mbele ya Uso linauma sana, nimeshindwa kulala kabisa. Toka...
11 Reactions
70 Replies
6K Views
Habarini JF Doctors! Nimekuwa natokwa na ute ute angavu (kama maji maji) unaovutika pale ninapoenda haja ndogo. Yapo kama ule ute unaotoka pale mwili unaposisimka sana kihisia mnapokuwa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wakuuu.. Leo napenda kusema tatizo ambalo nakumbana nalo kilasku usiku napouchapa usingz. OK iko hiv .. Yapata miaka mitano sasa nmekuwa nikihangaika usiku hasa wakati wa kuuchapa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 23 mimi huwa sili kabisa mayai na harufu yake nikiskia natapika. Jana niljtoa damu Muhimbili kwa ajili ya ku save maisha ya rafiki yangu niliuliza kama na aleji nikajibu...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Wana JF, Kama nilivyoandika katika "Heading", nina kama miezi mitano nimekuwa na shida ya kutoka jasho usiku nikiwa usingizini. Muda wote wa mchana na hadi pale ninapoenda kulala huwa sijisikii...
1 Reactions
13 Replies
22K Views
Nilifanya mapenzi na dada huyo siku ya Jumanne usiku. Nimeekaa Alhamisi nikaona kama nina nukta ya kovu kwenye uume na yule dada kufuatilia nikagundua ameathirika kweli. Nikaenda kwa doctor...
2 Reactions
55 Replies
13K Views
Habari za asubuhi wandugu, bila kuchelewa naomba kuuliza kuwa: 1. Tendo la ndoa (sex) asili yake ni starehe au kuzaliana tu? 2. Je, sex ni lazima uende zaidi ya Mara moja ili uonekane rijali...
3 Reactions
49 Replies
22K Views
This comes by also knowing no blood group is resistant to HIV virus Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu hivi kwa hapa Dar es salaam huduma ya vipimo vya vinasaba naweza kuipata vipi au kuna process gani za kufanya. Maana ujinga wa kulea mtoto wa mtu hauingii akilini ndugu zetu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom