amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 464
Habari zenu wakuu hivi kwa hapa Dar es salaam huduma ya vipimo vya vinasaba naweza kuipata vipi au kuna process gani za kufanya.
Maana ujinga wa kulea mtoto wa mtu hauingii akilini ndugu zetu siku hizi ujanja ujanja umekuwa mwingi bora nusu Shari kuliko shari kamili nijuzeni nikapate uhakika.